Chumba / nyumba ya kupanga
Imeidhinishwa
Master bedroom Geita mjini
TZS 120,000 kwa mwezi
Self-contained, maji yamo.
| Vyumba | 1 |
|---|---|
| Self-contained | Ndiyo |
| Maji yamo | Ndiyo |
"Imeidhinishwa" inamaanisha Kitasa imekagua tangazo hili kuona kasoro zilizo wazi. "Muuzaji Aliyethibitishwa" inamaanisha muuzaji ameonyesha kitambulisho. Hakuna kati ya hivyo ni dhamana: tazama eneo na kubaliana bei kabla ya kumlipa mtu yeyote.